Makapuku Forum

4/ mfaham mwanamke mwenye maziwa makubwa zaidi duniani



Jina lake kamili ni Annie Hawkins Turner (a.k.a Normal Stitz) akitokea United States of America mwenye maziwa yenye urefu wa 109.22cm yenye umbo la mduara yaliyojijaza vyema kifuani mwake

Anavaa bra size 521 sidiria kubwa kuwahi kutengenezwa

Annie alianza kukua maziwa hayo akiwa na miaka 9 na madokta walimshauri kumfanyia upasuaji wayapunguze ukubwa wake alikataa na kusema hawezi kupingana na uumbaji wa Mungu na ni mama wa watoto wawili

Aliingia rasmi mwaka 2000 kwenye Guinness World Records

Madame S
 
Looooh!! Ukiistaajabu ya musa utayaona ya firauni
 
Kwa wapenda chuchuz hapa hawana chaoo...

Huyu anaweza kunyonyesha mtoto yupo mgongoni anabetua tu ziwa mtoto ananyonya
 
5/ mjue mtoto aliezaliwa akiwa na uzito mkubwa zaidi duniani

Anna Bates alojifungua mtoto huyu akiwa na uzito wa 9.98 kg nyumbani kwake Seville, Ohio

Mtoto huyu hakupewa jina rasmi na alifariki masaa 11 baadae (basda ya kuzaliwa kwake)

Imeripotiwa kua Anna jumba lake la uzazi lilipasuka na kupoteza maji mengi yaliyakdiriwa kua na ujazo wa gallons sita

mtoto mwengine aliezaliwa na fransica rames dos Santos raia wa (Brazil) alijifungua mtoto wa kiume mwenye uzito wa kg 7.57 18 January 2005 alikua ni miongoni !wa watoto wenye uzito mrefu zaidi kuwahi kuzaliwa duniani

Madame S
 
Aisee dah
 
Leo katika Historia

1958 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Madonna.
Mwimbaji mashuhuri wa muziki toka nchini Marekani.
Nikiwa kama shabiki hai wa Madonna ntacheza ngoma zake kama tatu hivi.. Ambazo nazikubali sana


Huyu bibi anapenda kukaa uchi na kutoka na dogodogo(Nario) pia kupiga picha za utupu
Kimuziki yupo vizuri na ni miongoni mwa wanamuziki wa kike 10 bora wa muda wote
Kama unamfahamu [b[Lady Gaga[/b] basi elewa alikuwepo Madonna na amezidiwa kila kitu na Madonna hadi pesa
Ana mkwanja unaofikia USD 800 Milioni na bado anazitafuta tu pesa hata kwa kukaa uchi
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…