Apo alifanya vizuri make kukosekana kwa binamu ningeliandamanaaWanaume wa humu wote aliwaweka kasoro shemela shululu tu
Hajakosea ndio uanaume huoApo alifanya vizuri make kukosekana kwa binamu ningeliandamanaa
Pichaaaaa3/je wajua busu lilichokua mda refu zaidi duniani?
Busu hili lilidumu kwa takribani masaa 53 dakika 35 na sekunde 58 na lilikua ni kati ya Bw. Eklachai Tiranant mwenye miaka 44 na Bi Laksana mwenye miaka 33 raia wa nchini Thailand wakitokea kijiji kinaitwa Pattaya
Walifanikiwa kuvunja rekodi hiyo na kuingia rasmi kwenye kitabu cha dunia cha Guiness World Records
Madame S
M gud Wii... Salamu zangu kwa kaka tafadhaliHow are u mamy
Madame S
Walikuwa wengi mnoAisee watu wengi ndani ya masaa machache Mungu awapumzishe kwa Amani
Na pengine baadae ChinaWaingereza waliitawala Dunia, ila wamekuja kuzidiwa akili na marekani
Leo katika Historia
1946 - Kunatokea Maandamano makubwa huko Kolkata India na kusababisha mauaji ya watu 4000 ndani ya saa 72.
Zimefika my lovely wiiM gud Wii... Salamu zangu kwa kaka tafadhali
Anatisha!2/ mtu mwenye masharafa marefu zaidi duniani
View attachment 567434
Si mwingine bali ni raia wa nchuni India, anajulikana kama Ram Singh Chauhan mwenye umri wa miaka 59 akitokea huko Rajasthan. Alianza kufuga mashara hayo mwaka 1982
Masharafa yake yana urefu wa 4.29 m sawa na (14 feets) yalipimwa katika kipindi cha luninga kilichojulikana kama "Lo show Di Record" mjini Italy na kuingia kwenye records za kidunia 04 March 2010
Venye anakwambia masharafa ni alama ya uanaume na huwashangaa sanavijana wakizinyoa.
Huchukua masaa 2 kusafisha masharafa yake kila siku na hutumia mafuta ya nazi pamoja na ya zetuni kuchania saharafa zake
Hajawahi kuzinyoa maisha yake yote huzipunguza tu kiasi zisizibe mdomo wake au kuufunika kabisa na huziosha kila baada ya siku kumi kwa msaada wa mkewe
View attachment 567441
Madame S
Asante ankali kwa musicRekodi inaitwa frozen toka kwa Madonna... Kifupi mimi huyu bi mkubwa namuelewa nje ndani
Wasalimie sanaMuwe na asubuhi njema jaman tutaonana badae
Ni wewe tena shemela wa mimiMimi tenaacha nijisifie shemela wangu asante jaman
Mbwa huyu ni mbilikimoLeo katika je wajua nami nakujuza zaidi nitaileta tofauti sio kwa mfumo wa kupost picha picha kama tulivyozoea
1/ je wamjua mbwa kudogo kuliko wote ulimwenguni??
View attachment 567427
Anajulikana kama Milly ni mbwa mwenye urefu sawa na kiatu cha mchuchumio chenye urefu wa 9.65 cm, mmiliki wa mbwa huyu anajuliiana kwa jina Vanessa Samler anayepatikana huko Puerto, Rico.
Jina kamili la mbwa huyu anajulikana kama Miracle Milly alizaliwa 1 December 2011 na kuingia rasmi kwenye record za kidunia ( Guinness World Records 12 February 2013)
Madame S
Asante ankali JJ kwa historia bora kabisaHii ndio ngoma nnayoikubali zaidi kutoka kwa Madonna
inaitwa La Isla Bonita........ Sijui kwavile alivyoimba alichanganya na maneno ya kispanishWatu na lugha zetu
Asante ni kwa kuwa nami kwenye leo katika historia
Niite Jimena Jimenes ila usisahau tu kuwa haya yamewezekana kwa hisani ya Ximena's red wine ambayo inapatikana kwa ladha sweet na dry
Aisee duh si mchezo, karibia siku3/je wajua busu lilichokua mda refu zaidi duniani?
Busu hili lilidumu kwa takribani masaa 53 dakika 35 na sekunde 58 na lilikua ni kati ya Bw. Eklachai Tiranant mwenye miaka 44 na Bi Laksana mwenye miaka 33 raia wa nchini Thailand wakitokea kijiji kinaitwa Pattaya
Mashindano hayo yalifanyika makumbusho yaliyojulikana kama Ripley's museums huko Pattaya
Walifanikiwa kuvunja rekodi hiyo na kuingia rasmi kwenye kitabu cha dunia cha Guiness World Records
Madame S