Makapuku Forum

Makapuku Forum

f2d00b58e3badc189daa165e42e6b443.jpg
19dc988e1ca223b2e61599164435f754.jpg
Goooooooooooal
:
..............
 
Wakuu laleni salama ktk igizo hili nilicheza kama fake pastor.
Kwa wale wageni ambao hawakuusoma mchezo na nikawaudhi au kuwaumiza poleni, kwa wale makapuku wazoefu wanaelewa sana.
In reality im not a pastor wakuu.
Laleni salama kwa wale wasinziaji
 
Wewe utabaki kuwa pastor hata usemeje.
 
We usijalibu kutushawishi tuamini kuwa wewe ni witch doctor wakati tunajua kabisa kuwa wewe ni pastor.
Huwezi kukimbia kazi uliyopewa na bwana.
Akinipa rasmi nitakujuza na ntakua nashuka verses kama hivi;
Efeso 3:20
Atukuzwe yeye atendayo mambo ya ajabu sana kupita yale tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu..amen
 
Yani mkuu usitake mpaka Mungu akutokee kama Musa,unajua haya maandiko unayotupia ni zaidi ya mzee wa upako.
 
Wakuu laleni salama ktk igizo hili nilicheza kama fake pastor.
Kwa wale wageni ambao hawakuusoma mchezo na nikawaudhi au kuwaumiza poleni, kwa wale makapuku wazoefu wanaelewa sana.
In reality im not a pastor wakuu.
Laleni salama kwa wale wasinziaji
Hivi unaempigia misele ni nani hadi upastor unaukana???
Ama kweli dunia ina mambo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom