Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Kwani jamaa amepanic!!!Kabugha hakusoma mchezo, mpe maelekezo huyo poti wako, atakula za kichwa bure ci wajua mimi hubadili mchezo ghafla
Kwani jamaa amepanic!!!Kabugha hakusoma mchezo, mpe maelekezo huyo poti wako, atakula za kichwa bure ci wajua mimi hubadili mchezo ghafla
Mamy..dadake mie naweka wazi hapa staki demu, niko kamiliHivi unaempigia misele ni nani hadi upastor unaukana???
Ama kweli dunia ina mambo!
Yani pastor amepata kamchepuko kanamsumbua mpaka ameanza kusahau kazi ya bwan muumba...Hivi unaempigia misele ni nani hadi upastor unaukana???
Ama kweli dunia ina mambo!
Nimesoma posts zake hajaelewa chanzo cha upasta wangu uchanhiaji wake unaonyesha anajibu kitu anachoamini ni kweliKwani jamaa amepanic!!!
Mmmmmh sio bureMamy..dadake mie naweka wazi hapa staki demu, niko kamili
Hahaha.Nimesoma posts zake hajaelewa chanzo cha upasta wangu uchanhiaji wake unaonyesha anajibu kitu anachoamini ni kweli
Kweli jimena nko na my sweet darling hapa na bebez zangu hapa wanacheki posts zenu afu wanacheekaaMmmmmh sio bure
Hapo ndo mimi nashangaaaYani pastor amepata kamchepuko kanamsumbua mpaka ameanza kusahau kazi ya bwan muumba...
Wako wangapi?? Hao bebez zako??Kweli jimena nko na my sweet darling hapa na bebez zangu hapa wanacheki posts zenu afu wanacheekaa
Mpe simu shem nichat naye ,angalau namimi nioshe nyota mkuu.Kweli jimena nko na my sweet darling hapa na bebez zangu hapa wanacheki posts zenu afu wanacheekaa
Kwake kuchat aona ni upotevu wa mdaMpe simu shem nichat naye ,angalau namimi nioshe nyota mkuu.
Usiku mwema wadau.
Salimia mkeoUsiku mwema wadau.
Usiku mwema wadau.
Salmia mkeoUsiku mwema wadau.
Usiku mwema wadau.
Salmia mkeo
Mbona unabana mkuu.Kwake kuchat aona ni upotevu wa mda
Nawashangaa mnapenda picha na majina ya kike, mim nshavuka foolish age, ukaguzi nimemaliza sasa naishi maisha yangu, sina mchecheto na ke tena nko kamili, wew endelea paramia kila mtiYani pastor amepata kamchepuko kanamsumbua mpaka ameanza kusahau kazi ya bwan muumba...
Kwako pia mkuu.Usiku mwema wadau.