makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,920
- 104,214
Teh teh teh... ungesema zenden tu shemej yatosha..Leo katika Historia
1976 - Bolo Zenden anazaliwa.(hili jina sasa)
Ni mchezaji wa zamani wa Barcelona, Chelsea, Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi.
Leo katika Historia
1976 - Bolo Zenden anazaliwa.(hili jina sasa)
Ni mchezaji wa zamani wa Barcelona, Chelsea, Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi.
Cc Shunie
Sakayo
Tumosa
Husna
Maserati
Husna
Madame S
Jimena
......
Jamaa yuko sahihi na kapatia.. tatzo aliyempa maswali tayar alikuwa na majibu yake thats y kamjazia minyanjo
Bolo alikipiga boro: EPL alikipiga Liverpool na Middlesbrough "Boro" mwenzake !!
......
Leo katika Historia
1988 - Oussama Assaidi anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Morocco.
Ahsante mdauShukrani sana kwa kuwa pamoja nami! Niite Jimena Jimenes... Kwa udhamini mnono wa Chia seeds
Jipatie paketi yako ya 100g kwa bei ya 10,000/=
Muwe na siku njema
+KipindupinduHaya watatoka wanaumwa.. UTI, KASWENDE, KISONONO, KICHOCHO, FUNGUS WA KUTOSHA KATIKA VIKOJOLEO VYAO, BAKTERIA USISEME NA PANGUSA JUU YAKE
Tycoon MAKAVELI Jr.
Noma sanaBolo alikipiga boro
Tycoon MAKAVELI Jr.
WapoAsante! Kuna wanawake hapa?
Wapo, ila wote wake za watuAsante! Kuna wanawake hapa?
Morning too jiraniMorng jirani..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Uwe na safari njemaMorng to u ndugu zangu, mko poa, ntapotea kwa week km 3 hadi 4 hv, tuombeane uzima na uhai tu, nikiibuka nadhan ntakuwa nimeibukia tabora trascend ntakuchek broo nikiwa huko nawatakia kila la kheri, afya, uzima, baraka zake muumba, na mfanikiwe katika mihangaiko yenu.. nawapenda wooote..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Yapi tena hayo husna?Nafukua makaburi
Afadhali wewe mtekaji wako amekupa taarifa na Muda ambao utakuwa chini ya ulinzi.... Wengine wanapotea tu.Morng to u ndugu zangu, mko poa, ntapotea kwa week km 3 hadi 4 hv, tuombeane uzima na uhai tu, nikiibuka nadhan ntakuwa nimeibukia tabora trascend ntakuchek broo nikiwa huko nawatakia kila la kheri, afya, uzima, baraka zake muumba, na mfanikiwe katika mihangaiko yenu.. nawapenda wooote..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Nakuonaa mwenyewe unajitahjdi kunigombanisha na my loveMiss u mnooooo binamu yangu kivuruge husna ameshakuacha binamu bitoz anammiliki mama mchuchu anakusalimia sanaaaaaa