Makapuku Forum

Makapuku Forum

...inakaribia kukamilika, asante kwa kuuliza. Nimekumiss, well, nimemmiss sana husna muba , kuna jipya?
Kuna jipya, maana ya mungu mengi unaweza kuta nimeachika hivi hivi

Ulifikisha salamu zangu za dhati kwa BlessedHope
Miss u mnooooo binamu yangu kivuruge husna ameshakuacha binamu bitoz anammiliki mama mchuchu anakusalimia sanaaaaaa
 
Nitamshkuru Bwana kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu

Nitafurahi na kukushangilia wewe, nitaliimba jina lako, wewe uliye juu

ZABURI 9:1-2

MBARIKIWE SANA MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA
 
Dada ebu niambie ukweli jaman kuhusu jana yale yalikua ni madeko eenh mana kama kuumwa najua text ambazo ningetumiwa ujue nakufahamu
Kuna muda nilikuita uje kapuku... Ni kwamba naogopa tuu yaaani Sijui kwa nini, yawezekana ni Ugonjwa ujue... Nahisi kama kuna kitu naogopa lakinii sikielewi... Mwanzo nilidhani kawaida ila muda ulivyo zidi ndo nilikuwa napata hofu zaidi.. Nilisali mnoo lakinii wapi ikabidi nimtafute Doctor.....
 
Aisee pole sana dada inabidi ukiona hiyo hali sali sana na kemea sana yaan sana ni pepo hilo Mungu akusaidie jaman vipi lakini unaendeleaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom