Makapuku Forum

Wewe ulikula vitumbua vya lini mpaka ukasema hayo...

Mm na shunie kiukweli ni mke na mme mr ..apa nimeweka utan pemben

Kila mtu anakuja kwenye maisha ya mtu Mungu akiamua...through kapuku nimepata mke bora


.....anayebisha hapa anataka lawama tu.

Lakini anko, hebu ngoja kwanza, hebu week picha ili wabaya wako mimi simo, waone unachosema ni kweli.

Halafu shululu ni kama Tomaso wa Tumosa , anataka picha
 
Ila shunie mama D yaan ulivomrembo wangu ndo unavopatia kunikoshaa na avatar....hiyo unanifanya niishii kwa wasiwasi make haina tofauti na u cute wako ...

Wewe shuny wewe ...nakupendaa


....wasiwasi ndo akili, na ili kupunguza wasiwasi hakikisha una alternative in case , unajua tena jiji limevaa kimini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…