Makapuku Forum

Makapuku Forum

THE DOM

Sehemu Ya 19

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Instagram....

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

SON OF PRESIDENT GU

Maskini Leah ndio anazidi kuumia roho yake,.. Mtu huyo sio mume wake tena hapo anamtendea msaada tu wa kumpeleka tanga,..
"binti, we binti"
"abee anti"
"una nini??...muite baba watoto mje msaidiane kuchagua... Mana sharti mume ajue vigagula vyako, mana ni kazi yake kuvivua... Hebu muite"
Leah anafikiria ataanzia wapi, sahi wala hana mazoea nae tena ndio kwanzaa wamekutana leo, sasa aanzeje kumuita mume, na mbaya zaidi ni changudoa, yaani hata yeye mwenyewe anajionea aibu kujiita mke wa fulani,... Leah alilia sana huku akifikiria jinsi ya kumuita sahi aje wachague nguo za ndani, na mbaya zaidi hata jina la sahi halijui.. Yaani hamjui kabisaaaaaa... Leah anatamani kumwambia huyo mama kuwa yeye ni changudoa tu, na huyo sio mume wake.. Wakati huo mama anakazania leah amuite mume wake waje wachague nguo za ndani na hio ndio furaha ya ndoa mahaba ya dhati katika ndoa......

ENDELEA..........

Ni kweli, wasichana wengi duniani kote wanashindwa kuishi vizuri na wanaume zao kutokana na kutojua nini maana ya ndoa,

JAMANI MTANISAMEHE, YAANI SIMULIZI YA MAPIGANO NAILETA KWENYE MAPENZI, AMA KWELI MIMI NI MWANDISHI WA CHOMBEZO TU, HUKU KWENYE ACTION ACTION TUWAACHIE WENYEWE,... NAAMSHA MIKONO JUU SIWEZI KUANDIKA SIMULIZI ZA ACTION... SIWEZI KABISAAAAAAAA

Leah akiwa bado anafikiria ni jinsi gani atamuita sahi waje wachague nguo za ndani,...

Kumbe huku nje sahi kakasirika kupita kiasi,... Kwa jinsi leah anavyochelewa, saa ngapi hajatoka kwenye gari na kuja mkuku mkuku dukani, wakati ana hasira kweli,.. Leah alisikia viatu vikilia kwa kwa kwa, akajua ni sahi huyo anakuja, lakini lea hakutaka kutetemeka, na kitu anacholinda ni kuitwa changudoa mbele za watu,.. Sasa sahi alipotaka kuingia, akawaona wapo kwenye chumba cha nguo za ndani,.. Kuona hivyo ikabidi arudi mbio mana kuna mama wa makamo sasa aende huko ili iweje, ikabidi arudi zake kwenye gari...
"Kiukweli mnaendana,.. Tena ana aibu mpaka raha yani,... Binti mtunze mume wako, achana na tamaa zisizo na maana,... Mimi kupata mwanaume mwenye aibu kama wako, sijui nitapaa kiasi gani,... Binti chagua nguo umuwahi mumeo, mana kwa aibu ile hawezi kuja hapa"
Aliongea mama huyo, huku akiendelea kumtungulia aina nzuri za chupi,.. Baada ya robo saa mbele, tayari keshafungashiwa katika mfuko maalum wa kutokea dukani... Sahi anamuona leah anakuja na lambo kubwa hata kulibeba hawezi...
"mitoto ya mjini bwana... Sasa huo ni mfuko gani kumshinda kubeba... Ahhh ebu asinicheleweshe mimi"
Sahi alijiongelea mwenyewe huku akishuka katika gari na kumpokea ule mzigo mana anaona anachelewa tu, sasa kumpokea huko, leah alijikuta akishangaa,... Wakati huo mama mwenyewe anaona wivu, kuwa binti kapata mwanaume,... Sasa leah akarufi kwa yule mama na kumwambia
"Anti??? anakuja kulipa"
"hakuna shaka... Yaani mpaka kubeba umesaidiwa... Uiharibu mwenyewe tu, mana sisi wanawake wengi tunazivunja ndoa zetu sisi wenyewe kwa mikono yetu"
"mama, nampenda sana mume wangu, yaani naishi nae kwa furaha... Na pia nashukuru sana kwa kuniongezea elimu juu ya kuishi nae, nitamdekeza kama ulivyosema anti angu"
"wahi katika gari"
"anakuja wala usijali anti"
Hazijafika hata dakika mbili, sahi huyo katokea kuja kulipa,....
"shikamoo mama"
"maraha hujambo baba mkwe"
"sijambo"
"naona umemtanguliza mama kwanza"
Sahi akashangaa kuambiwa naona umemtanguliza mama, sasa sahi alipomwangalia leah,.. Leah alimkonyeza sahi, sahi akawa kama kaelewa lakini bado, ila mama hajajua kitu
"eeee, aahh mama si unajua kuchoka, nikaona aje mwenyewe tu huku ndani"
"ni vizuri sana kumleta mama shopping"
"Ahsante sana... Aahhh ni kiasi gani bill ya nguo zote"
"ni laki 6 baba"
Hata leah alishangaa, ina maana kachukuwa nguo zenye thamani ya laki sita,.. Leah alitamani hata akapunguze zile nguo, mana hakutegemea kama hio gharama ingekuwa kubwa kiasi hicho,... Lakini kwa sahi yeye hakuwa na shida na pesa, shida yake ni dom tu, yaani hapo akili yake inawaza kupata dom, na vile vile kama unakumbuka sahi amewekewa bajeti yake ya Tsh Milioni 500 ndani ya mwezi moja, yaani matumizi yake yote ndani ya mwezi ahakikishe milioni 500 imekwisha.. Sahi alitoa laki sita ya watu na kumpa mama,.. Kisha haoo wakaingia katika gari na kuondoka,..

Leah alikuwa mbele lakini hatamani hata kurudi katika kazi hio, na wazo lake hapo amalize hio kazi akipewa hela, aanzishe mtaji, yale maneno ya mama Kiukweli hajayachukulia juu juu, naye kweli anahitaji kuwa na mume, naye anahitaji kuwa na familia, kweli itafikia hatua wanaume hawamtaki tena, wakati huo umri umemtupa mkono,... Leah alifikiria sana juu ya haya maisha, na kuona hayana maana,... Akiwaza ile kila siku ni mtu wa kupigwa na baridi usiku kucha, kila siku ni mtu wa kukimbizana na wanaume tena sio mmoja,.. Kila siku ni mtu wa kugombea wanaume tu,.. Sasa leo kakutana na maneno matam toka kwa mama muuza duka,...
"ayaaaaa.... Tumesahau kuingia hotelini kwanza"
Aliongea sahi huku akigeuza gari mana alikuwa anakaribia nyumbani kwake,...
"hotelini kufanya nini"
"hatujala, nahisi njaa"
"ina maana mimi siwezi kupika mpaka tukalie hotelini"
Sahi alishangaa kuskia leo changudoa nae anataka kuoika
"inashangaza mno kusikia changudoa anataka kupika, na wakati tumezoea kuwaona mkila CHIPSI KUKU"
Aliongea sahi tena kwa kebehi nyingi mno, hata leah hajapenda
"tafadhali sana kaka angu, naomba jina ala uchangudoa uliache,.. Sitamani tena kuifanya hio kazi"
"hahahahahahah... Unachokiongea ni Nothing, ile ndio kazi yako, utaishi vipi kama utaiacha"
"nategemea malipo yoka kwako, ili nifungue biashara niachane na hio kazi"
Sasa leah aliposema hivyo sahi ndio akaamini kidogo huenda kweli leah akaacha hio kazi, mana mpaka kasema anahitaji malipo toka kwa sahi ndipo aache hio kazi....
"basi mimi katika malipo nitayafanya mara mbili zaidi, ili uiache hio kazi, na pia natamani niwaseidie machangudoa wote wapate kazi, lakini sema uwezo ndio sina"
Leah alitulia tu huku sahi akielekea hotelini,... Alipofika alimtaka leah ashuke ile wakapate chakula,
"mimi nitakwenda kupika, wewe nunua chakula chako"
Sahi wala hakutaka maneno, aliagiza nyama choma
"nipe nyama choma ya kushiba na juice"
Wakati huo leah yeye yupo kwenye nyama mbichi,...
"nikatie kilo mbili"
Leah aliongea kwa mkata ntama kuwa akatiwe nyama kilo mbili ilio mbichi,
"atalipa yule anaekula nyama choma"
"sawa dada"
Papo hapo leah akanunua unga kama kilo mbili tu ule unga wa mama lishe,.. Na ni kweli anachokifanya mana kule kwa sahi, safuria zenye hazijui jiko, jiko lenyewe halijawahi hata kuwashwa,...

Sahi anamaliza kula anakutana na bili ya nyama mbichi,
"mimi nimekula nyama choma.. Nile mbichi nimekuwa shetani mimi"
"hapana.. Ni mke wako ndio kachukuwa nyama mbichi"
"ati nani??"
"mkeo kachukuwa kilo mbili za nyama"
Sahi ni mropokaji lakini hapo kaweka staha tu, alitaka kusema huyu chagudoa awe mke wangu, lakini akamezea tu..
"ok shika"
Alilipa, sasa ile anafungua mlango mara dada wa duka la unga huyo,..
"kaka una deni"
"nimekula nini chako we dada"
"mkeo kachukuwa unga kilo mbili"
Sahi ilibidi alipe tu... Kisha akaingia kwenye gari
"mpaka tumalize hii kazi utamaliza hata mamilioni dada angu, khaaa kila mahari umechukuwa??...aahhh changudoa mna tabu aiseee,... Sema navumilia kwasababu nina shida"
Aliongea sahi wakati huo leah anamsikiliza tu, masikini leah analia lakini sahi hajui, kumbe mtoto wa watu anashusha machozi ya kisirisiri tu...

Walifika nyumbani, geti linafunguliwa kwa rimoti pekee,... Ikiwa ni mida ya saa tatu hivi na nusu,... Sahi alikimbilia kulala tu mana alichoka sana,.. Lakini leah yeye kukimbilia jikoni, kwanza kaosha vyombo wakati huo sahi tayari usingizi ulishamjia,... Baada ya kumaliza kuosha vyombo ambavyo vilikuwa na vumbi tu,... Aliichukuwa nyama na kuikata kidogo kisha nyingine ikaingia katika friji,... Kapika kila kitu chakula na nyama ya kuchoka na kachumbari saafi kabisa,.. Kilimao kwa mbaali, hivi alivinunua kwa hela yake mwenyewe,...
"mkaka, we mkaka... "
Aliita leah,.. Aliingia mpaka ndani na kumuamsha,... Lakini sahi alionekana kuchoka sana,.. Sasa leah akaona pochi ya sahi, si akaichukuwa na kuangalia ndani, ilikuwa imejaa kadi za benki tu, lakini alishtuka kuona kitambulisho kimoja cha TSS (Tanzania Secret Service) na cha TMA (Tanzania Military Academy)... Alishtuka na kuitupa pochi pembeni,..
"kumbe huyu mtu ni polisi"
Sasa hivi ndio analijua hilo.... Lakini hakutia woga sana mana kama ni wa kukamatwa basi angesha kamatwa..
"we ulijua mie mkulima eee"
Sahi kumbe alikua anamtega tu, wala hakuwa kalala fofofo,...
"lakini mbona hujasema jamani Salehe"
Leah keshajua jina la sahi, kwa kuona vitambulisho vyake,..
"ujue ili unikimbie"
"ok... Twende tukale basi"
"nilivyokula hotelini hujaniona"
"basi hata kampani yako sio mbaya"
Sahi ilibidi kuamka ili akampe kamapani ya kula...
Sahi alikuta msosi mtamu uliopangiliwa mezani,..
"heeee umetengezena na kachumbari... Lazima nile aisee"
Sahi nae kajumuika katika kula,.. Leah alikuwa akiitamani nafasi ya kuishi katika hii nyumba, lakini kazi yake imemharibia bahati kama hizi,..

Walipomaliza kula sahi yeye kakimbilia kulala tena, wakati huo leah anaweka vyombo safi, mana hatarajii kupika tena, mana ni wakuja tu humu mdani,.. Hivyo aweke vyombo vya watu safi,...

Alionekana akinyata taaratibu kabisa kuelekea kwenye chumba cha sahi, tena wakati huo kavalia chuoi moja nzuri nyeupeeee pyeee, tena na lile umbo lake, ilimkaa vizuri mno,.. Na wakati huo kashika chupi nyingi mkononi,.. Aliingia bila hata ya hodi,
"yaani hata husemi uone nguo ulizoninunulia unakimbilia kulala tu"
Leah aliongea, akionekana kuanza utani na sahi,... Sasa sahi alikuwa bado hajamuona, ile kugeuka anakutana na mtoto wa kike kajaa tena huku kavaa chupi ya maana, chuchu zake ndogoo aliziachia pweeee inatikisika tu... Unajua malaya au changudoa kukaa uchi mbele ya mwanaume haoni tabu,.. Sahi alimwangalia juu mpaka chini mtoto anaridhisha sema kazi yake chafu sana,...
"niambie nivae ipi usiku huu"
"kwani mie mmeo"
Leah alijiskia vibaya sana kuambiwa hivyo, na wakati anaitamani nafasi kama hio japo haitowezekana,...
"Samahani kama nimekuuzi"
"nenda zako kalale, staki bughudha"
"sawa, lakini jua pamoja na kazi yangu, ila hata mimi ni binadamu, nahitaji mwanaume, nahitaji maneno mazuri ya faraja... Sijakataa kuwa mimi ni malaya, lakini nami nina haki zangu pia"
"sawa nemda kalele bwana kesho tunaamka asubuhi asubuhi.. We changudoa vipi wewe"
Leah alikasirika sana, yaani kwa muda mfupi tu neno changudoa halitamani kulisikia katika masikio yake,
"nimesema mimi sio changudoa tena... Mbona hunisikii"
Leah alianza utani wa kumpiga sahi kwa kutumia zile chupi, wakati huo sahi katulia tu, mana sahi mpaka ampige mwanamke, sijui ni mwaka gani hivyo hua anawaangalia
"nakuuliza wewe, kwanini unaniita changudoa"
"leah tulia mi nilale bwana"
"siendi kulala popote ispokuwa hapa hapa"
"leah acha fujo basi... Yaani nakustahi tu kwasababu una msaada kwangu"
"tena ukileta utani nitakupoteza kijiji ili umkose huyo mtu"
Sahi kusikia hivyo ilibidi awe mpole,
"haya we wataka nini"
"niambie nivae chupi gani usiku wa leo"
"eeee mungu wangu weee, changudoa mna tabu, sasa hilo swali ni la kumuuliza mumeo, afu kwanini unakuja chumbani kwangu namna hii leah"
"nimeamua tu, kwani hujui kuwa Dar es Salaam kuna joto"
"ok kavae nyekundu"
"weee nivae nyekundu kwani nipo kwenye siku zangu"
"basi vaa bluu"
"apo sawa.... "
Sasa leah akawa anaivua pale pale ile alioivaa, ili avae hio ya bluu alio ambiwa,... Kiukweli wanawake ni kama watoto tu... Sahi alifumba macho, mana anajua huyu ni malaya tu haogopi kuvua mbele yake...
" ona sasa dume zimaaa eti linaogopa kuona mwanamke"
"vaa uondoke"
Sasa leah akawa anamuangalia sahi bizuri katika sura yake
"huyu boy ni hensamu kweli, kazuri mno.. Ana mdomo. Mzuri"
Leah alijiongelea katika moyo wake huku akimuinamia sahi mdomoni kama vile anataka kumpa denda, wakati huo leah kamkalia sahi tumboni,... Sahi alihisi joto linazidi katika uso wake, kumbe ni leah keshafikisha karibu, ile sahi anafungua macho tu anakutana na mdomo wa leah tayari umeshaungana na wakwake,.. Hajakaa vizuri mara chuchu zikaanza kumchoma katika kifua chake, chupi laini alioivaa leah pia ni kiungo mkabaji kwa sahi.... Sahi aliupokea mdomo wa leah bila kupenda...
"yaani we kidume ukiniacha nitaamini wewe sio rijali,.. Siko tayari kulala chumba tofauti na wewe,... Naomba niwe mkeo kwa usiku wa leo, tafadhali sana boy"
Aliongea leah kwa suti ya chiniiiii, wakati huo sahi hana ujanja tena, apana chezea mapenzi wewe hata kama ni kichaa lazima usisimke tu
"lakini le... "
Sahi alizibwa mdomo baada ya leah kusikia neno lakini, akajua kuna pingamizi hapo, hivyo kamuwahi kumziba mdomo
"sihitaji maneno tena sahi,.. Kama kweli umekubali kuwa nami usiku wa le, naomba ufanye kwa vitendo na sio maneno,... Chupi yangu mzigo wako uishindwe mwenyewe kuivua,... Nami boxer yako mzigo wangu.. Niache niivue nitakavyo"
Maneno tu, sahi alilainika, hata mlenda umesingiziwa

Je? Nini kitaendelea???.... Sahi atakula mzigo au atashtuka... Na je vp kuhusu dom, itapatikana???

ITAENDELEA.....
 
DID YOU KNOW?!
2ac6c46dd8027e66a4f29bac65e5f09c.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom