Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mungu azidi kukupigania dada upo kwenye maombi yangu [emoji120]Nipo tuu Nataka nijiandae niende job....
Asante mwaya
Mungu azidi kukupigania dada upo kwenye maombi yangu [emoji120]Nipo tuu Nataka nijiandae niende job....
Asante mwaya
Siioni kitu... Nahisi tuu kuogopa yaaani hata Sijui nikuambie nini...Ujue unaniogopesha dada lakini uzuri nyumbani haupo peke yako ni nini unakiona
Amina mdogo wangu... Baadae basiMungu azidi kukupigania dada upo kwenye maombi yangu [emoji120]
Sawa dada [emoji8]Amina mdogo wangu... Baadae basi
Kila mara uwe unasali na kukemea hiyo hali itoke kabisaSiioni kitu... Nahisi tuu kuogopa yaaani hata Sijui nikuambie nini...
Love you moreSawa dada [emoji8]
Sawa mamyKila mara uwe unasali na kukemea hiyo hali itoke kabisa
Morning dumejeuri rafiki akee zembwelaMorning makapuku wenzangu!
Hahahaa wee nae mmh!Morning dumejeuri rafiki akee zembwela
Amen,nawe pia Mtumishi![emoji524] Nitamshkuru Bwana kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu
Nitafurahi na kukushangilia wewe, nitaliimba jina lako, wewe uliye juu [emoji524]
ZABURI 9:1-2
MBARIKIWE SANA MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA [emoji120] [emoji7]
Tu wazima kabisa, vip pande hizo mme mwee, za siku mbili tatu hiviTumia mda kila unapoupata ...
Ni kweli ubize umechukua nafasi yake ila sitosahau ata kama mda huu nikipata time nikakusalimia kapuku muheshimiwa ...hope tu wazima ....
Tuwe na mwanzo mwema wa wiki Mungu atuongoze kwa kila jambo
Shemela wa mimi apa za kuamkaMiss u mnooooo binamu yangu kivuruge husna ameshakuacha binamu bitoz anammiliki mama mchuchu anakusalimia sanaaaaaa
Amen, Asante kwa neno la uzima[emoji524] Nitamshkuru Bwana kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu
Nitafurahi na kukushangilia wewe, nitaliimba jina lako, wewe uliye juu [emoji524]
ZABURI 9:1-2
MBARIKIWE SANA MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA [emoji120] [emoji7]
Nimekuja shemelaShemela shululu ukuje amka uniletee magazeti mie
Morning tooMorning all
Pole sana shemejiKuna muda nilikuita uje kapuku... Ni kwamba naogopa tuu yaaani Sijui kwa nini, yawezekana ni Ugonjwa ujue... Nahisi kama kuna kitu naogopa lakinii sikielewi... Mwanzo nilidhani kawaida ila muda ulivyo zidi ndo nilikuwa napata hofu zaidi.. Nilisali mnoo lakinii wapi ikabidi nimtafute Doctor.....
MorningMorning makapuku wenzangu!