Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
We haya tuuNimefanyaje dada jaman
We haya tuuNimefanyaje dada jaman
1 bila.Naombeni matokeo ya simba kwanza hivi ngapi ngapi
Mtoto Wa mama huyooAnantafutia balaa huyu.. mie mama kankataza michezo ya kikubwa halafu yee anatangaza kuwa kakesha na mimi[emoji24] [emoji24] [emoji24] ... mama akiskia ntachapwa mie..[emoji24] [emoji24]
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji3][emoji3][emoji3]Nimeshawazoea mie jaman
Woooooozaaaaaaa bado watoto wa mourinho1 bila.
Tumeshinda..
Mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We haya tuu
Yameisha mkuu..Yaishe mkuu
Naongeaje kwanza na wake za watu mjukuu wangu.... Mimi nilikuwa najibu tuhuma tu.Ewaaa babu ongeeni tu mengine jaman
SawaYameisha mkuu..
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Tunaongoza moja...
Lukaku9
Tuhuma zipiiii mada ifungwe nilishasema mie jamanNaongeaje kwanza na wake za watu mjukuu wangu.... Mimi nilikuwa najibu tuhuma tu.
Nahisi umeshaamka sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli T siwezi amka apa nikiamka nitakuta mtu kakaa uwanjani kumeshatibuka yaan gomz wakifungwa sijui kama kutakuwa na amani
Nipo hapa urafiki bar shemela nimeshatoka kwenye mavumbiNahisi umeshaamka sasa [emoji3][emoji3][emoji3]
Urafiki...Nipo hapa urafiki bar shemela nimeshatoka kwenye mavumbi
Agiza Heineken kabisa...!Nipo hapa urafiki bar shemela nimeshatoka kwenye mavumbi
Nipo huku karibia na uwanja wa kinesiUrafiki...
Mitaa ya kuelekea kwa kina Bitoz..
Ila Matic ni bonge la midfielder..[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ahahha sinywi nakunywa fanta leoAgiza Heineken kabisa...!