Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Mchape na fimboMbona mbishi hivii
Mchape na fimboMbona mbishi hivii
Usileft basi...

The best transport route in dsm..!Akuuu me zangu mwendokasi


Cjambo jumapili imekwendajeAsante... Hujambo wewe?
T jamaan mstari wa mwisho umeniacha kwenye mataaThe best transport route in dsm..!
Ila sasa kama mtu anakaa maeneo fulani ..! Anasikia mwendo kasi tuu![]()

Ila mke mwee na we ukiamua unajiweza ujue kuyamaliza
ya tangia jana yanishinda
Aiseee we na mumeo hamna tofauti kwa uchocheziMchape na fimbo
Huo ndio ukweli mtetee mumeo sasa
Wewe cheka tuu..
Tatizo lako humsikilizi dada ako wakati analuhurumia ucpate kfuaAiseee we na mumeo hamna tofauti kwa uchochezi
![]()
![]()
ya tangia jana yanishinda



kazi ya mpendwa wa binamu ye hata ya juzi anafukua tuKwa mwendo kasi unafika S...?T jamaan mstari wa mwisho umeniacha kwenye mataa![]()


Sisikii baridi jamaan halaf hizo habari zilishaisha mke mwee za sweater jamanTatizo lako humsikilizi dada ako wakati analuhurumia ucpate kfua
Acha nicheke jamaan mnanifurahishaWewe cheka tuu..
Ndio ujue sasa sikai hukoKwa mwendo kasi unafika S...?![]()