Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaKweli shemela me nimezaliwa 72 huko utanifananisha na wewe jamaan
Mbavu zangu mieee
HahahaKweli shemela me nimezaliwa 72 huko utanifananisha na wewe jamaan
Sawa kabisa mjukuu wangu... Wacha niende zanguTopic closed ongeeni mengine

Usiongee na mie
Sio rahisi ujueAlichukua mwenyewe sweater lake
Habari za masweater sitaki dada kuzisikiaRudi
Hivi una nini lakini dada mbona unataka kuwaongopea watu jamanHahaha
Mbavu zangu mieee
HahahaHabari za masweater sitaki dada kuzisikia
Ewaaa babu ongeeni tu mengine jamanSawa kabisa mjukuu wangu... Wacha niende zangu![]()
![]()
![]()
MfyuuuuuUsiongee na mie
Ndio mana nakupenda shem wangu hufati mkumbo kama shemela shululu
Yaani weweHivi una nini lakini dada mbona unataka kuwaongopea watu jaman
Ahahhah si unamjua lakini au una ugeni naeSio rahisi ujue
Aisee! Yamekuwa hayoAnataka kichurachura huyoo
Nimefanyaje dada jamanYaani wewe
MwenyeweMfyuuuuu
Basi SawaAhahhah si unamjua lakini au una ugeni nae
Yaishe mkuuAisee! Yamekuwa hayo