Aahh.. ndio maana, nikawa najiuliza mbona huyu binti mswahili mnoo. Upashukunu umemjA tele km pishi la mchele kumbe ni mbagala 1..
Bas we jiran yangu... siku nikipita mbagala nikakabwa na kiu hata siingi gharama ya kununuA maji.. nakuja kwenu unanipa jagi najipigia, na ya ziada nabeba
Tycoon MAKAVELI Jr.