Hayajawahi kunifika ila hiyo ndio style yangu sihitaji mawasiliano ya pm jf unaepukana na vitu vingi sanaYadhawahi kukufika !!
.
Haya bhana huku hakuna umeme hivyo ngoja niwaache maana kisimu changu kina betri feki kitazima muda sio mrefu
......
Hadi kwenye avatar...Teena wivu hasa
Tycoon MAKAVELI Jr.
ULISEMA MWENYEWE HAITADUMUNa mimi je nimrudishe wa mwanzo [emoji125]
Mie mpaka najishtukia ujue... Akuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si haujazoea mambo hayo nalifahamu hilo ujue dada ila kubadili sitaki uibadili
Hapana shemela nimeguna tuVip tena shemela wangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uje shemela wewe nahisi kama sio kule kanyigo basi usambaani ujue hisia zangu naziamini sana
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hadi kwenye avatar...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ULISEMA MWENYEWE HAITADUMU
Haya bhanaaHapana dada naachaje kupokea jaman simu yako nilikua nayo mbali nakuja kuishika ndio nakuta missed call
Kweli shemela ujue yaan ni kule kule ninapohisi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
We haya tuuHapana dada 40 plus jaman mbona unanishusha miaka yangu lakin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie mpaka najishtukia ujue... Akuu
Asante shemela wa mimiNalifahamu hilo pole sana shemela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf vibibi tumejaa jaman hizi avatar zinatuficha mengi sanaWe haya tuu
Kijichi pakawaida sanaEti shemela kijichi kwao si ushuani kule
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Huo ugali kula peke ako tu bday boy
Mbona wenyewe kule wanapaita ushuaniKijichi pakawaida sana
Hata bibi alikuwa msichanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf vibibi tumejaa jaman hizi avatar zinatuficha mengi sana
Itakuwa hivyoHakajazaliwa hata kuzaliwa..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ndiwoooo lakini sasa ni bibiHata bibi alikuwa msichanaa