Kuna pipo ilikuja kuzingua eti sijui uzi umepitwa replies so what?
Kitendo chenu cha kumuignore kimenofurahisha maana mmemnyesha ukomavu !!
Tuna kazi za kufanya bhana ila siyo kushindania vitu vya kipuuzi Muwe na Usiku Mwema
.........

Liver wana kipa Mjerumani wanamkalisha tu benchi
Simon Mignolet kila msimu anaigharimu timu kwa kufanya makosa ya kiboya hata leo kabla ya kufungwa goli la 3 kiboya alishafanya kosa la kuudodosha mpira na kidogo tu aharibu