Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Leo nimekumbuka ujue kuna siku uliuliza hivi hivi nikajibu hajambo shemela shululu akajibu unajua mwenzako nani mpaka umejibu nikasema si Baba D shemela shululu akasema sio hamaniishi huyo ebu leo nijibu ni mwenzangu nani huwa unamaanisha etimwenzio ajambo??
Ipo ukingoni hiyoHii mr x namuonea huruma kamishina shebby tu masikini inasikitisha sana jaman Baba D asante naiona hii mr x inaelekea ukingoni
NyageiMabibi na mabwana
Nn sasa?
AbeeMakaka na wadada
NzuriHabarini za mchana huu?
Hamna kitu husna mubaNn sasa?
OkayHamna kitu husna muba
Poa poaOkay
Salama kabisa mr nyageiHabarini za mchana huu?
Hahahaha...!! hao wana yao sasa, mimi namaanisha Baba D ndio mwenzakoLeo nimekumbuka ujue kuna siku uliuliza hivi hivi nikajibu hajambo shemela shululu akajibu unajua mwenzako nani mpaka umejibu nikasema si Baba D shemela shululu akasema sio hamaniishi huyo ebu leo nijibu ni mwenzangu nani huwa unamaanisha eti