Makapuku Forum


Ray Charles, huwa napenda kusikiza nyimbo zake na Hit the Road Jack ndo naupenda. Namna anavyoimba kwa hisia utakumbuka sauti za kina Bitchuka, Dede na Nico Zengekala muache Chidumule ukakutane na Jerry Nashon, na ukirudi kwa kina Ray utafurahia sauti ya Anita Baker (sweet love) na Grover Washington Jr. Muziki unapambwa na mashairi matamu na gitaa lenye mchanganyiko wa biriani la kuokwa.

Jamie Fox kacheza filamu ya maisha yake, utaipenda. Huwa natamani nasi ajitokeze mmoja acheze filamu ya maisha ya mzee Nyunyusa


 

Umenikosha saana ulipomtaja nico zengekala, shaban dede, hassan rehan bitchuk na cosmas chidumule.. nilichelewa kuzaliwa ila nyimbo zao nilitokea kuzipenda saana..

sent using my nokia ya tochi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…