Ray Charles, huwa napenda kusikiza nyimbo zake na Hit the Road Jack ndo naupenda. Namna anavyoimba kwa hisia utakumbuka sauti za kina Bitchuka, Dede na Nico Zengekala muache Chidumule ukakutane na Jerry Nashon, na ukirudi kwa kina Ray utafurahia sauti ya Anita Baker (sweet love) na Grover Washington Jr. Muziki unapambwa na mashairi matamu na gitaa lenye mchanganyiko wa biriani la kuokwa.
Jamie Fox kacheza filamu ya maisha yake, utaipenda. Huwa natamani nasi ajitokeze mmoja acheze filamu ya maisha ya mzee Nyunyusa
Hao wengine sio wapinzani ni geresha tu ndio maana hukubadi matokeo fasta
Maalim anapoteza taimu tu
Asante mdau, nawe piaAhsante mdau
.
.
Uwe na week end njema
.......
Morning mkuu!Morning all kapuku
Asante shemela wangu baba jj mwenyeweView attachment 563702Nawatakieni wote jumamos njema
Huyu ndikumana nae chizi mtu hutakiwi bado tu unalazimisha mapenzi hivi kwa nini watu wengine ni wagumu jaman hivi hutakiwi kabisa na vituko unavyofanyiwa ila bado tu
KUWA MWANGALIFU NA MANENO YAKO UTAMKAYO.....
MATHAYO 12
MITHALI 6

AmenKUWA MWANGALIFU NA MANENO YAKO UTAMKAYO.....
MATHAYO 12
37. Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.
MITHALI 6
Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako.
NAWATAKIA ASUBUHI NJEMA NA JUMAMOSI NJEMA MBARIKIWE SANA![]()
Tumeumbwa tofauti shemelaHuyu ndikumana nae chizi mtu hutakiwi bado tu unalazimisha mapenzi hivi kwa nini watu wengine ni wagumu jaman hivi hutakiwi kabisa na vituko unavyofanyiwa ila bado tu
Shemela wa mimi apa za kwakoHuyu ndikumana nae chizi mtu hutakiwi bado tu unalazimisha mapenzi hivi kwa nini watu wengine ni wagumu jaman hivi hutakiwi kabisa na vituko unavyofanyiwa ila bado tu
Morning too, za domMorning mkuu!
Pamoja sana mama DAsante shemela wangu baba jj mwenyewe