Kwa kweli hili swali nilikuwa natafuta pozi la kukuuliza shemej yangu.. maana ndugu yangu kitambo sijamuona..
sent using my nokia ya tochi
Asantee9/Diane Schuur
Alizaliwa Disemba 10 mnamo mwaka 1953
Huyu ni kipofu mwingine mjanjamjanja ambaye anakimbiza tu kwenye muziki wa Jazz yaani huyu kwa wasioona ndiye Madonna wao
Siyo tu anafanya muziki kutafuta sifa bali anaingiza mpunga wa maana kupitia sanaa
Huyu amenyanyapaliwa sehemu kibao ila akakomaa nao na kuwadhihirishia kwamba kukosa macho/kuona sio kukosa akili na kipaji
Kapiga ngoma kibao kama vile
Louisiana Sunday Afternoon
Deedle's Blues
Easy To Love
TheMan Ilove
Ana album 23 na zinskimbiza tu sokoni na kuongiza mpungaThe Man I Love
.....
Nimemiss sana Nukuu jamaniAiseee....
Basi sawa..
Asante kwa burudani
Hawa ni miongoni mwa watu wanaojitambua.... Kwanza amejikubali, na akasonga mbele8/David PatersonAlizaliwa Mei 20 mwaka 1954
Mlemavu huyu wa macho aluamua kujikita kwenye siasa na kufanikiwa kuwa Gavana huko Marekani
Alikuwa Gavana wa 55 wa New York yaani aliliongoza moja kati ya jiji la maana kabisa huko Marekani....ni bora huyu mlemavu mwenye busara kuliko kuongozwa na Bashite !!
Aliliongoza jiji la New York kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka 2010
Ni msomi kutoka Colombia University na hakuridhika hivyo akaenda kumalizia na shule ya sheria (uwakili) huko Hofstra Law School :Huyu ni Mmarekani mwenye asili ya Afrika kama Barack Obama na mpambanaji haswa na alisifika kwa hotuba zenye kuvutia
.......
Aiseee!!!7/Helen Keller
Ni mzaliwa wa Alabama
Alizaliwa mwaka 1880 na kufariki dunia mwaka 1968 akiwa na umri wa miaka 88
Huyu sio tu alikuwa haoni bali pia hasikii kitaalamu wanaitwa Kiziwi asiyeona ukienda pale shule ya Uhuru Mchanganyiko utawakuta watoto wa aina hiyo hawa kueafundisha ili wakuelewe ni jambo gumu linalohitaji moyo na kujitolea
Sasa huyu pamoja na hali yake alikomaa na shule na kufanikiwa kuwa Kiziwi asiyeoona wa kwanza kupata Shahada ya Sanaa yaani alikomaa na nukta nundu tena bila kumsikia mtu hadi chuo kikuu !!!
Huyu alikuwa ni Mhadhiri &Mtunzi
Kaandika vitabu kibao vilivyotikisa na kuishangaza dunia
Huyu ndiye kiziwi asiyeona maarufu zaidi duniani
.......
Nisamehe bure bibie, wala sikuitizma ile pic, tangazo la chia seeds nilikuwa nimeliona siku za nyuma so najua faida.. kwahyo nilipoliona pale nikaulizia bila kufungua,
Mimi ndio nilikuwa wrong, nawe ulikuwa sahih..
sent using my nokia ya tochi
Kama usingeuweka basi ningemuomba Obe auweke hata kama sio msimu wa sikukuu6/Jose Feliciano
Alizaliwa Septemba 10 mwaka 1945
Huyu ni msanii kutoka Puerto Rico
Ni mwimbaji na mtunzi/mwandika nyimbo mwenyenye mafanikio makubwa nchini humo na duniani kwa ujumla
:Wimbo wake wa Feliz Navidad unakimbiza duniani kwa ujumla kila unapofika msimu wa sikuu ya Christmass
Jamaa anaimba kwa kutumia lugha za Kilatini na Kiingereza hivyo kufanikiwa kuliteka soko
Nyimbo zake nyingine ni kama vile
Su Hija Me Gusta
Light My Fire
.
.......................................
Zitaendelea baadaye
Mie basi wala siko nawe bibie.. mie mbona nna yangu, kama waona nakunyangama roho yako niwie radhi bibie..
sent using my nokia ya tochi
Sasa hv ukipita maka mie napita madina, wee los angeles mie new york..
sent using my nokia ya tochi
Wapi nilikuombea ufeWee wa kuniombea mie nife weye..
sent using my nokia ya tochi
Ukakojoe ukalale..
sent using my nokia ya tochi
Iulemavu mbaya ni wa akiliHawa ni miongoni mwa watu wanaojitambua.... Kwanza amejikubali, na akasonga mbele
Bado naendelea hapa karibuKwema hbr ya mihangaiko
Leo nimepita nduguUmekuja leo ??