Makapuku Forum

Duuh ayo maneno sjaelewa chochote mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio lugha yetu hiyo ya kiswahili, kuna maneno ni magumu kuyaleta kwenye kiswahili..

Nilijua unakaadia ka jiography kidogo ndio maana nikakuelezea hivyo, sasa kivingine tabu kidogo lugha yetu haijakamilika hasa kati nyanja hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…