Makapuku Forum



.....utasema kavaa pampasi
Jamani me napita nimesikia niwasalimie, endeleeni na yenu na mimi napambana na hali yangu
 
Loh! Naona wapoteza mudawo!! Hata sikuelewi, muone[emoji16][emoji16][emoji16]

Madame S
Kuelewa unaelewa ndio maana ukajua km mie nataka nin, ingekuwa nmekwambia nakupenda halafu ukanipmaandaz ningejua kweli hujaelewa..[emoji23] [emoji23]

Mkubwa wewe bwana sio mpaka uchezwe ngoma ndio ujielewe km umekuwa, hebu fanya maamuz ya kikubwa nikusifu..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakuhadaa maana mume wangu anamjua huyo kua makini tu

Madame S
Hawez kuwa na roho ya kike akaenda kuyabandika matangazo yetu posta bibie..

Na ndio maana nkakwambia usogee karbu tuzungumze vzur na c kutupiana maneno km usa na north korea.
 
Hawez kuwa na roho ya kike akaenda kuyabandika matangazo yetu posta bibie..

Na ndio maana nkakwambia usogee karbu tuzungumze vzur na c kutupiana maneno km usa na north korea.
Una nn lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nalala mie usiku mwema muda wa Bailly5 sasa

Madame S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…