Makapuku Forum

9/Olm Wanafanana na mijusi ila hawa siyo reptilia bali ni amphibia jamii ya Salamander
Hawa hawana hata vimacho vya kuzugia hivyo mabichwa yao yapoyapo tu kama tofali
Hawaoni ila wana uwezo mkubwa wa kuhisi
Wana uwezo wa kutambua(detect) mawimbi ya umeme hivyo kwao kutoona sio ishu na hawakamatwi kiboyaboya
Wanapendelea kuishi mapangoni haswamajini kernye nchi mbalimbali za Ulaya
......
 
8/Kentucky Cave Shrimp
Inaonekana mapangoni ndio chimbo kuu la vipofu hivyo nashauri wasioona wakusanywe nchi nzima wapelekwe kwenye mapango ya Amboni wakaishi kwa raha zao
Hawa ni jamii ya Uduvi nafikiri ushawahi kusikia hilo neno kwa kimombo ndio Shrimp
Hawa wana uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi kwa kutumia milango mingine ya ufahamu tofauti na macho ambayo hawana
Pamoja na ujanja wao wote adui wao mkubwa ni water pollution maana uchafu mwingi unasukumwa mapangoni
.....
 
Unanikoshaaa
 
7/Kauai Cave Wolf Spider

Wazee wengine wa mapangoni !!
Simwongelei Spiderman wala Spiderwoman hapa namjadili buibui halisi asiyeona
Wanapatikana kwa wingi kwenye sehemu korofi zisizopitika kwa urahisi(remote areas) huko katika Jimbo la Hawaii nchini Marekani
Kutokuona kwap ndio kumewafanya wajitenge maana wanahofia maadui
Ukuwaona kuwagundua ni rahisi tu sababu tofauti na wolf spider wengine wenye macho makubwa tu wao hawana
......
 
Hawana sumu kali?!
 
6/Sea Urchins
Nauzungumzia "uchini" wa baharini siyo uchini unaouwaza wewe
Wanasayansi wameshindwa kung'amua kama kweli hawaoni kabisa au wanaziga tu maana wanabadili rangi zao kama vinyonga kuendana na mazingira ya mwanga
Pia wana tabia ya kujongea kuufusta mwanga ,siyo hivyo tu wana uwezo wa kuzalisha protini ya kuwawezesha kutambua mwanga
Hivyo hawa vipofu hawaaminiki hata kwa watafiti vichwa vinawauma tu

..................................
Zitaendelea baadaye
 
Sorry mkuu ...hawa jamaa sio kwamba hawaoni kabisa ila wanasimple eyes at time ukisoma ancestors wao inaonekana kuna uwezekano walikuwa na compound eye ....japo kiujumla macho yao huwez kuyaona yamefunikwa na wanaona vizuri tu ...

Zipo experiments zilizofanywa na kubaini endapo macho yao yakiwa uncovered hawaoni kabisa ...
 
Urumba huu, kwetu kigambon ni wa kumwaga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…