10/Albino Cave Crab
Kuna mtu aliyeshika jembe na kulima kijijini kwenye majimaji na asiwajue kaa? Wadudu hawa huwa ni noma kwa kukata vidole
Sasa hapa naongelea jamii ya kaa albino...kama mnavyojua Maalbino wana uoni mdogo au vipofu kabisa
Wanapatikana kwa wingi huko Canary Islands
Wanasayansi wamewachunguza na kubaini hawa sio kaa bali ni Squat Lobsters
Mimi siyo mwanasayansi hivyo sielewi kitu kuhusu lobsters
........