Makapuku Forum

3/Zachary Taylor Alizaliwa mwaka 1784 na kufariki 1850
Alifia nadarakani katika muhula wake wa kwanza tu
Alishindwa kuapishwa March 5 1849 sababu ilikuwa ni Jumapili na yeye kutokana na ulokole wake akagoma kuapishwa siku tukufu kwa bwana hivyo ikaahirishwa
na kuapishwa March 4 yaani ilirudishwa nyuma
Alitawala kuanzia Marc 4 mwaka 1849 hadi Julai 9 mwaka 1850

Yaani siku 491 tu
.....
 
Sawa na miaka km miwili hv
 
Km mwaka na nusu hv
 
2/James A Garfield Alizaliwa mwaka 1831 na kufariki 1881
Huyu anawakilisha kizazi halisi cha akina James achana na kizazi hovyo cha akina James Delicious ambao hupumuliwa visogoni
Huyu aliuawa akiwa madarakani kabla ya kutimiza hata mwaka mmoja
Alikuwa kwenye harakati ya kutengeneza baraza la mawaziri ambalo litabalansi mambo kwenye Chama cha Republican na pia kuwakosha Wamarekani ila jamaa wakamwahi na kumpumzisha
Alitawala kuanzia Machi 4 hadi Septemba 19 1881

Taani siku 199 tu
.....
 
1/William H Harrison
Alizaliwa mwaka 1773 na kufariki dunia 1841
Huyu ndio rais wa Marekani aliyekaa madarakani muda mfupi zaidi na ndiye rais wa kwanza kufia White House
Aliapishwa March 4 1841na kufariki April 4 1841

Yaani siku 31 au mwezi mmoja tu
Hata gwaride itakuwa kaonja siku ya kuapishwa tu
Pole yake
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
.........

 
Thanks bitoz
 
Asante mdau
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…