Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
N..... Ni badala ya NyageiKwani umeona nini Nyagei....
N..... Ni badala ya NyageiKwani umeona nini Nyagei....
Hutokaa uniweze weweumepambana na hali yako ?
sema leo nimekuweza
Kwani vipi bitoooSawa ila imeibua hisia tofauti
Lengo langu ni kukumbushia tu kwamba humu watu kutaniana ni kawaida tu na kukwazana huwa sio lengo letu
Tukutane baadaye
.....
Nimekusamehe dadaNisamehe mdogo wangu... Kumbe umekuwa eee
Hahahalabda kwako mdau ila kwa tuliokuwa tunaendeleza tulikuwa tunajua tunachokifanya ...me and sakayo
kama nakuona ....Hutokaa uniweze wewe
HahahaN..... Ni badala ya Nyagei
Usinizeeshe babu wee...Koh koh koh...
Shkamoo dada Husna
Asante mdogo wanguNimekusamehe dada
Muone Kwanzaakama nakuona ....
kwani uongo jana ulinikomoa na mm leo nimekukomoaa sema leo mm mshindiHahaha
Muombe Bitoz msamaha
Hahahakwani uongo jana ulinikomoa na mm leo nimekukomoaa sema leo mm mshindi
ndo maana nimemwambia madenge sisi kamchezo ketu kameanzia mbali vigumu kuelewa
aha hahaahaahahahahaha ....leo una bahati ..kuna sehemu umeandka mpaka nimekuonea huruma ...Muone Kwanzaa
Kiukweli huyo ni mtoto wa mdogo wa mdogo wangu![]()
![]()
anaonekana mbona anafanana na Obe
Hahaha
Siku yako yajaaaa
Wala tuu jamanii... Nilikuwa nakuelewesha tuu wewe mchocheziaha hahaahaahahahahaha ....leo una bahati ..kuna sehemu umeandka mpaka nimekuonea huruma ...
huyu wangu na hapo bado kuna siku atakuja kulitaja jina la 4 la baba yake hapa
Mie nasimamiaga misimamo yangu.... Sijui ulifikiri nitapingaanimejipanga mama ....we jana si umetukana mamba wakati mimi ndo ninamiliki mtumbwi tena mmoja kijiji kizima
na umejaa kweli kweliii ....leo tamu kidogo uikosee ..loliiiipoooopuuuuWala tuu jamanii... Nilikuwa nakuelewesha tuu wewe mchochezi