Huyo wa mwisho uliona nimemwandika wapi kwa mfano...
Nafikiri inaeleweka babu alikuwa nami mwanzoni na sa hii tuko friends and nothing more.... Nafikiri hujui utani wa babu thy, anyway ni mtazamo wako huo
Usijali T naheshimu mawazo yako, if you don't trust me just let me go... Sijazoea kuhisiwa vibaya... Jf kuna wataalam hawashindwi Sema wote hao wananikula..