Hujambo mjukuu wangu? Unajua Lee alipotekwa na mimi nikaamua niende porini ili asipate mashaka kwa sababu ana tabia ya kutoniamini japokuwa mimi babu Mkwe wake.
Alianzisha uislam mwaka 640
Pia alikuwa mfanyabiashara mkubwa so kupitia biashara zake aliisambaza pia imani yake kwa kuwa alizitembelea nchi mbalimbali
Wote mpo sahihi kiimani msibishane ndio maana niliandika Kwa wasio waislamu wanaamini Mtume Muhammad ndio aliyeanzisha uislamu wakati kwa waislamu hawawamini hivyo wanaamini Uislamu ulikuwepo kabla yake yaani aliueneza tu au kuuendeleza yaani hakuanzisha kitu