Ee Mungu wa sifa zangu usinyamaze
Kwa maana wamenifumbulia kinywa, kinywa cha mtu asiye haki, cha hila wamesema nami kwa ulimi wa uongo
Naam kwa maneno ya chuki wamenizunguka, wamepigana nami bure
ZABURI 109:1-3
Muwe na usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu