Makapuku Forum

5/Siddhartha Gautama
Aliishi kuanzia mwaka 563C hadi mwaka 483 AD
Huyu ni maarufu zaidi kwa J na la Buddha yaani kwa Wabudha jamaa kwao ni kama Yesu Kristo vile(mimi siijui vizuri hii dini ila nasikia jamaa huwa hawavhinji mnyama kabisa labda tu wakose kabisa vitu vya kula)
Jamaa kazaliwa kwenye ile nchi isiyo na bendera ya mstatili Nepal
Jamaa alikuwa ni mpiga mazoezi na mweneza imani mkubwa ya kuwafumbua watu....huyu ndo mfalme wa mediation ukimsikia mwingine much know basi ni fekelo
Jamaa kawahi kupiga mediation ya siku 49 ambayo hadi leo inafahamika kama Noble Eightfold Path duniani kwa ujumla
Supreme buddha anfuatiliwa/abudiwa zaidi na Wahindu wavaa mashuka kama Masai vile mfano Mahatma Gandhi

Ameandikwa kwenye vitabu zaidi ya 7,000,000

Anatafutwa X 4,000,000 na ushee kwa mwezi
......
 
4/Moses
Huyu ndo Musa
Aliishi kati ya mwaka 1300C hadi mwaka 1080 BC
Unaambiwa Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni mimi ukinipa biblia sehemu yangu ya kwanza kuitafuta ni Musa tu napenda stori yake na firauni kupitiliza
Huyu anaabudiwa/tukuzwa na Uislamu pamoja na Ukristo hivyo hafungamani na dini yoyote ndio maana jona la MUSA ni la Waislamu kwa Wakristo
Jamaa ndio kama Mwanzilishi wa Uyahudi na yale mambo ya kanaani na Misri ndo muhusika
Kaandikwa kwenye vitabu 8,000,000

Anatafutwa X 3,000,000 na ushee kwa nwezi
...
 
Budha alikuwa akijinyima sana ili maskini wapate
Na alifikia hatua akaondoka kwao kwenda kuishi msituni ili kujipa mateso kama wengine walivyokuwa wakiteseka
Kwao walikuwa matajiri lakini aliondoka kwao ili kuzoea shida

Ni mtu mpole sana na mpenda watu maskini na waliokuwa wanateseka

Alikuwa sio mgonvi na alikuwa mpenda amani

Namkubali sana

Kuhusu kumwabudu hiyo ni imani za watu tuwaachie wenyewe wabuddha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…