Makapuku Forum

Mimi hapa anko niko macho! Au nimechelewa kujibu? Si unajua mimi ninakuwaga wa mwisho kujibu
Heshima kwako binamu wee kila siku kama sio wa mwisho kujibu bhas wa mwisho kuona kwani yule Joy ulimwona mapema pasipo kuoneshwa mwishowe ukamuelewaa pasipo kuelewaana ..

Sikumtuma D akupe ujumbe japo na wewe sijui P alipotea njia ??
 
Hiroshima na Nagasaki, liliathili hadi kizazi cha watu wa Japanese
 
Heshima kwako binamu wee kila siku kama sio wa mwisho kujibu bhas wa mwisho kuona kwani yule Joy ulimwona mapema pasipo kuoneshwa mwishowe ukamuelewaa pasipo kuelewaana ..

Sikumtuma D akupe ujumbe japo na wewe sijui P alipotea njia ??

Hawa watoto waache tu, eti P anataka ipad, nikamwambia asiwe wa kwanza wala wa mwisho darasani, halafu anitajie majina ya wakuu wa mikoa, wa wilaya zote na majina ya mikoa yote nchini. Hili ni zoezi endelevu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…