Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kwa nini hujui utaninipo mimi
Kwa nini hujui utaninipo mimi
Heheheheheeeee baelezeeMy baby Curious gal nimemficha mombasa tunakula pwezaa tuu
Ulikuwa mpole jamaanNdioo
Yaani kweli Tanzania tunahitaji maombiHalafu huwa anaonekana innocent utadhani sio yeye
Chaaaahalaf usikute lipita msechu akiambiwa afanye mazoezi hatakiii kula kula ye kila kitu anakula tu
but clouds media group wakiamua mbona vyote vinafungukaa....hawa watu wana impacts kubwa kwenye tasnia ya habari TZWatajua wenyewe! Ila lile azimia la vyombo vya Habari sio Ruge.
HahahaWakina nani tena hao jamaan
Napotea ghafula?
Am i a demon?



ulipotea bana bila kumuaga dada anguHahahaaiiiiseeeeh
Sikupotea mimi...ulipotea bana bila kumuaga dada angu
Kwa nini lakini uliniblock
HahahaKufanana na ruge jaman ujue nilimvuta ruge hapaa na alivyo na ile sura yake
Night dance?Chaaaa
Sipati picha ya Usiku
Basi ulitekwa jaman TSikupotea mimi...
Kwani mimi kuku?
WoyoooWewe sifanani na Ruge hata kidogoooo!
Utani wa Sakayo tuu
sema ubonge wangu huwa unaufurahia kinomaaa ukiaanza uchokoziii wakooome ndio mkewe kwani atajuana na mkewe T me niulize ubonge wa lee tu
Baba D jaman si yameisha lakiniKwa nini lakini uliniblock