Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Sitaki mke mwee jaman hata kujua mie ye aendelee kumtafuta tu![]()
![]()
hata hutaki kujua ni nani
Sitaki mke mwee jaman hata kujua mie ye aendelee kumtafuta tu![]()
![]()
hata hutaki kujua ni nani
Ndio dada msaada TafadhaliNiwatafute tena
Mkuu tumepoteana kuna nini nimekukuta tu sehemu unamwaga povu lako
AsanteeBaba D kuwa na Amani zote hakuna ulichonikosea nakupenda lee wangu![]()
Mama kapumzika kapuku ila atarudi sema siku ya kurudi haijulikaniToka nimerudi nimejaribu kuangalia kila sehemu sijamwona mama mchungaji nae simwoni mwezi umeiisha saizi
Sawa mkuu kigoma wanasemaje?Mm nipo sana sema nowdays nimekuwa mvivu kuandika napita kimya kimya tuu
Asantee na ubarikiwee sanaNajua ndo maana nilienda mbembeleza ujue
Siamini ka hili ndo jibu lako.... Ulinituma wapi Kwani????Umemuitaa wewe? ?
Baba D jamaan
SawaMimi mpole mbona
Muwe na Amani zote DadaUsijali
Ameshaelewa
Sawa dada kama kuna mwenye mawasiliano yake amwambie mndali anamsalimiaMama kapumzika kapuku ila atarudi sema siku ya kurudi haijulikani
Poa,baby wako umemficha wapi
Niambiee TumooS wa T
Kaka angu ebu wafate pm kwao jamaan hao unaowatafutaNdio dada msaada Tafadhali
We cheka tuuDada sakayo unamsoma shemeji yako lakini natamani kucheka shunie me ila kwa ujio huu wa neno jamaan acha tumshkuru Mungu tu![]()
Mie zaidiNakupenda dada angu
Dada msamehe tu Baba D wangu jamaanSiamini ka hili ndo jibu lako.... Ulinituma wapi Kwani????
Kweli binadamu sio wema, anyway Jua tuu ka sio mieee usingemuona milele na venye amekublock
Sasa mpendwa hujanielewa ...bro nilimwambia amtafute na weweSiamini ka hili ndo jibu lako.... Ulinituma wapi Kwani????
Kweli binadamu sio wema, anyway Jua tuu ka sio mieee usingemuona milele na venye amekublock