Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Msihukumu msije mkahukumiwa ninyi
Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo ndiyo mtakayohukumiwa, na kipimo kile mpimiacho ndicho mtakachopimiwa

Basi mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

Au utamwambiaje nduguyo, niache nikitoe kibanzi katika jicho lako na kumbe mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe? [emoji524]

MATHAYO:7;1-4

Na hili ndio Neno la Bwana la leo mbarikiwe muwe na jumamosi njema [emoji120]
 
Amen
 
Back
Top Bottom