TOP TEN MSHTUKO.
Kila ijumaa ya kwanza ya mwezi August huwa siku ya beer ya kimataifa. Hii siku imeanza kusherekewa tokea mwaka 2007 kwa kutambua mchango wa watumiaji wa beer katika uchumi wa dunia.
Kufikia mwaka 2020 mauzo ya beer yanategemewa kufikia usd 688.4 billion sawa na Tsh. 1,535,132,000,000,000.00, yaani zaidi ya trilion Elfu Moja na miatano.
sasa leo kwa mshtuko naleta zile beer 10 bora, je kama wewe ni mdau beer yako imetokea? most selling beer in the world.