Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Ewaaa... kumbe bado niponipo sana...Uko sahihi babu....
Shikamoo
Sasa huna kamchepuko ulikokasusa unigaie nami nichangamshe damu??
Kizuri mtu hula na nduguye bhana...
Ewaaa... kumbe bado niponipo sana...Uko sahihi babu....
Shikamoo
Nakuletea maji ya usambara Drinking water..Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho
EwaaaUko sahihi babu....
Shikamoo
Kho Kho Kho KhoEwaaa... kumbe bado niponipo sana...
Sasa huna kamchepuko ulikokasusa unigaie nami nichangamshe damu??
Kizuri mtu hula na nduguye bhana...
Umeanza umbea?Kho Kho Kho Kho
Hapo ndo unanimalizagaNakuletea maji ya usambara Drinking water..
Nisamehe babuUmeanza umbea?
Ukiweza kumkuna bibi vizuri nakupa mchepuko wa humu humu...Ewaaa... kumbe bado niponipo sana...
Sasa huna kamchepuko ulikokasusa unigaie nami nichangamshe damu??
Kizuri mtu hula na nduguye bhana...
Vitz wakati nasubiria hii mashine kwa hisani ya makinikia??Ukiweza kumkuna bibi vizuri nakupa mchepuko wa humu humu...
Endesha kwanza Vitz kabla ya kutaka Vx
AiseeeeUkiweza kumkuna bibi vizuri nakupa mchepuko wa humu humu...
Endesha kwanza Vitz kabla ya kutaka Vx
HahahaHebu kufa kidogo afu ufufuke...
![]()
Maneno kuntu kabisa kutoka kwa BobNUKUU: “Usiupende ulimwengu ukapoteza roho yako, hekima ni bora kuliko fedha na dhahabu,”- Bob Marley![]()
Tumetulia tuliTulieni hajapotea
Asante kwa ushauri shemejiKweli shemeji japo mi huwa nashauri sio lazima ukaenda huko ukiwa na nafasi unaweza kuwatembelea wanao Fanya shughuli za ufugaji na kilimo unaweza kujifunza mengi zaidi
MkuuUmenyang'anywa T tena!
Wewe....Vitz wakati nasubiria hii mashine kwa hisani ya makinikia??
![]()
Nini?Aiseeee
Kuna bahasha yakoNini?