Makapuku Forum

.....maneno kama haya huwa yananikumbusha nimekaa kwa mangi nakula Safari lager ya baridi huku namsikiliza le jenerali Ramadhan Massanja Banza Stone (pka) akiimba ...°√,majungu si mtaji useme utajirikeeee eeee... We miss Banza .
Binamu yangu mimi apa jamaan miss u ebu kwanza usisahau nyimbo niliyochagua iniburudishe na Baba D wangu nikiwa juu ya kifua chake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…