Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
utachizikaaaOoooo Mr x plz......usimuue Dr asha banaa
utachizikaaaOoooo Mr x plz......usimuue Dr asha banaa
Mzeewakungoa ndio padri au mchungaji shemela aje atubariki jaman auNgoja aje mzeewakungoa
nitag jibuuuShemela ukianguka niambie baba jj hivi mmeshawabadili nguo lakini
Ameeeen kubwaHallelujah [emoji119]
Kumbe ni mdigo, ila anatembelea nyota ya wasambaa, shemela hebu jibuetiii yeye anaona aibuu kushushiaa loliipoooop
wakati wewe mdigooo wanguu ndoo hunaga time
HayaAnalijua ila anahisi nimemdanganya..!
Sasa lee anapenda kuniita mike..
Mike anayoita lee sio mike ya michael..lee anaita mike ambayo ni jina linalotumika sana jeshini... hasa wakati wa mafunzo..
Btw , its too irrelevant
Shemela wa mimi apa za jioniBaba D jamaan me sio mdigo nimekusamehe mume sema wote tu tunatoka mkoa mmoja nahisi ndio mana umejichanganya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zaidii ya kibokooooo
yenyeweeee ileeee swty[emoji15] [emoji15] lollipop ipiiii hii ya pipi ya kijiti au
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji15] [emoji15] lollipop ipiiii hii ya pipi ya kijiti au
Ameen shemela Matunda ya Mama haya [emoji120] Mungu azidi kumbariki na kumuweka mama mchuchuKutoka darasa huru la mama mchungaji
UmeonaeeAhahhhh kamuwekee pm
Baba D ni ubaya upi jamanHebu uliza huo ubaya
Hahahakwanii wewe si ndo mdigoo wanguu
nilimanishaa wewe
[emoji120]Mambo ya Mungu haya shunie...
Na kila mwenye pumzi amtukuze Bwana Mungu.
Pole shemela wangu kwa usumbufu wa net, kweli hapo upo juu ya mti[emoji3] [emoji3]Yaaan shemela [emoji134] net shidaa jamaan
AkuuNimekumiss tu jaman nafurahi kuwakuta na kiboko yako T
Shemela acha uchochezi jamaanMarkpen haihusiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaonaa thatahaaa nakupendaaaa mpka nasahauuu usambaa wakoooo
sorry
Aisee10/Danielle Steel![]()
![]()
Alizaliwa Agosti 14 mnamo mwaka 1947
Ni mtoto wa baba Mjerumani mwenye asili ya Kiyahudi na mama Mreno
Alikuwa ni mtoto wa pekee na kulelewa huko Ufaransa
Alipiga msuli ngazi ya Shahada katika New York University hovyo ni msomi anayejua akifanyacho![]()
![]()
![]()
Ni mkali wa vitabu vya mapenzi & mahusiano
Kitatu chake cha The Long Road Home kilichokuwa kikielezea manyanyaso ya msichana mmoja nyumbani kwao ndo kilichobamba zaidi duniani na kumtambulisha
Ameuza vitabu zaidi ya nusu bilioni yaani 500,000,000+
..........