Makapuku Forum

Asantee binamu japo huu sujui ndo mziki upii ...


Pamoja sana anko, huu ni muziki wanauita singeli, unaonekana kukubalika zaidi miongoni mwa wengi wa maisha ya kati na ya kawaida (maisha ya chini- huwa siielewi sentensi ya kusema maisha ya chini).

Binafsi nauona ni muziki mzuri wa majisifu na makidai ya Mswahili
 
Karibuni Wageni

Transcend asante kwa kutuletea wageni ambao kiukweli ni wageni tu kwa humu kwani huwa tunakutana nao kwenye majukwaa mengine. Tunafurahi kuwa nao hapa

Tunafurahia kuwaona hapa na KF ni Jukwaa bora kabisa ambalo linaendana na mazingira na hali ya kila mmoja, asubuhi tunakuwa na segment za kuvutia kabisa kuanzia Magazeti, BBC, Sala, Historia na Picha, Hadithi na Vichekesho. Mchana tunakuwa na Sports pamoja na sogozi za maana tu. Jioni kuelekea usiku tunakuwa na kubwa 10, Sport tena, Vichekesho vya Bitoz na Lee na kisha tunakuwa na muziki ambao unajikita kwenye utamu wa gitaa zaidi.

hebu burudikeni na na Tracy Chapman akiimba Fast Car

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…