Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Lee ni mjukuu mkwe wangu tatizo Obe anampelekaga kwa waganga na wale wanatuchonganishe.....wanamwambie eti mimi namnyatia mjukuu yaani mke wake...........WAGANGA FITNA SANA MJUKUU MWEE.
...ha hahahahha, wewe mzee wa kungoa huaminiki kama mmasai, na lazima tuwe macho sana na wewe maana huishii kuangalia tu unataka na picha.
Kwa waganga kwa kweli mimi huwa naenda na nitagraduate hivi karibuni,


?

