Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,415
Utusamehe deni zetu kama sisi nasi tuwasamevyo wadeni wetu
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu, kwa ufalme wako ni wako na nguvu na utukufu hata milele Ameeen.
Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nanyi
MATHAYO:6:12:15
Muwe na usiku ulio mwema
Tujifunze kusamehe wapendwa hata kama umekosewa vipi msamehe aliyekukosea ili Mungu atusamehe nasi tuliyomkosea nimejifunza kitu kutokana na neno la leo achia roho we samehe tu
Heri amkumbukaye mnyonge, Bwana atamwokoa siku ya taabu
Bwana atamlinda na kumhifadhi hai, naye atafanikiwa katika nchi, wala usimtie katika hali wamtakiayo adui zake
ZABURI:41:1:2
Mbarikiwe muwe na mchana ulio mwema kwenu
Obe. Najua kuna kipindi nilikukosea sana. Naomba unisamehe mkuu. Moyo wangu ni mweupe. Kwako na wengine wote katika thread hii. Ukinisamehe nitafurahi sana!Amen mtumishi, hili ndo neno kubwa na kama ulikuwa akilini mwangu nami leo nimerusha kustep in the name of love
Mdau, PA ni musician ninayempenda sana. Kawa kimya sana lakini
Mdau, PA ni musician ninayempenda sana. Kawa kimya sana lakini
Obe. Najua kuna kipindi nilikukosea sana. Naomba unisamehe mkuu. Moyo wangu ni mweupe. Kwako na wengine wote katika thread hii. Ukinisamehe nitafurahi sana!
HujakoseaaaAnko mambo vipi! Nimekusalimia tu usiku huu.
Eti aunt anataka niwaombe radhi, jama nimekosea Nini Mimi binamu yako ambaye kwa kweli tuna damu moja ya ukoo