Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Mi sio mama mtumishi
Jimena ni dadake mtumishiHaya mama mtumishi!
Dadake tuMi sio mama mtumishi
Hahahaa.... Ishakuwa jipu hilo.Nimemuacha rasmi kuanzia sasa.
Sitaki tena kuulizwa maswala ya huyu mwanamke.
**________It's over_____*
Jimena ni dadake mtumishi
Duuh una sound hadi basi!Funguka sasa! Maana kwa muktadha wa wabunge kulipwa sitting allowance vivyo hivyo na kwenye haya makitu tuko mbioni kudai dating allowance kwa wenye muwekezaji zaidi ya mmoja! Ongeza danga upate ruzuku zaidi!
Ndoto gani tena hiyo?Nimerudi brother.
nimeota ndoto ya ajabu sana.....
Hakuna tatizo kaka, kwani vipi?Hahaha.
Bro nini tena.
Basi sawa, staki kumuudhi dadanguWakati nikiwa mvulana zamani ukikuta binti na mvulana wakiitana kaka ila uso ukisawajika kila wakutanapo basi tulikuwa na kauli mbiu ''...si alisema ni dada yakeeee...sasa mbona anamuwowaaa..." zamani sana!
Huyu kijana huyu ana mambo ya ajabu sana.Za kutufanya kama watoto
Basi sawa, staki kumuudhi dadangu
Mkuu nasikitika sina shida ndogo ndogo ka hizo, pambana mwenyewe, ukiweza ntawapa zawadi ya nyumba, mtachagua ni mkoa upi mnapendelea kuishi au kumilikiKesi ni ndogo hii hakuna hata sababu ya kuipeleka mahakama ya mwanzo kama ni dada wewe unaunganisha tu unapewa connection allowance na ukimsindikiza mara moja moja kwenye mitoko unaambulia escorting allowance! Na kama utaambatana na washkaji zako wote watapata listening allowance!
Mkuu nasikitika sina shida ndogo ndogo ka hizo, pambana mwenyewe, ukiweza ntawapa zawadi ya nyumba, mtachagua ni mkoa upi mnapendelea kuishi au kumiliki
Nyanya ww!Utakuta koba ni lawama kuliko Lizzie mwenyewe.....
Hahaha.
Zawadi ni jadi yetu, vilevile kila mtu ni mzuri kwao, sisi hatuna mzuri kuzidi meingine, wote wana hadhi sawa kwani muumba ni mmoja,Shemeji akikupa mali kwa kumwolea dadake shituka, fanya utafiti upya yumkini unayetaka kuoa ndiye sura mbaya wa failia..utapata unyonge siku ya harusi pale wadogo zake watakapokuja kuku 'waoh' jamani shemejiiiiiiii....raha sana!
Ngoja tuone kwanzaFunguka sasa! Maana kwa muktadha wa wabunge kulipwa sitting allowance vivyo hivyo na kwenye haya makitu tuko mbioni kudai dating allowance kwa wenye muwekezaji zaidi ya mmoja! Ongeza danga upate ruzuku zaidi!
Ewaaaaa mi ni dada ya mutumishiJimena ni dadake mtumishi
AsanteUsiku mwema wote humu ndani.
Kesho tena.