Makapuku Forum

Shukrani mkuu
 
TOP TEN
Wakati bwana yule akiwa na mgogoro na Wazungu kuhusu madini wakishindwa kupatana wataingia vitani kwa kupigana mabomu au vita ya uchumi ya kimyakimya
Sitaki kujifanya na kiherehere kuhusu suala hilo maana sio nia yangu
Vitaisikievkwacjirani tu ni mbaya husababisha vilema na mauti ...kilichotokea Rwanda wakati wa mauaji ya Kimbari kila mtu anajua
Sasa leo tuangalie vita kumi za kibabe zilizosababisha vifo vingi duniani
Hakuna cha Vita ya Majimaji wala Vita ya Kagera

Karibuni
............
 
10/Napoleonic Wars
Vita hii ilipiganwa kuanzia mwaka 1803 hadi mwaka 1815 (mwanzoni mwa karne ya 19)
Ilipigwa huko Ulaya na kusambaa zaidi kwenye bahari za Hindi,Atlantiki na Pasifiki
Huu ulikuwa ni mfululizo wa vita dhidi ya Napoleon Empire
Chimbuko lake lilianzia kwenye French Revolution 1789 sasa Dola ya Ufaransa taratibu ikaanza kupoteza nguvu dhidi ya Napoleon nahivyo kuzidiwa
Wafarabsa waliivamia Urusi mwaka 1812 na hapo himaya ya Napoleon ikapokea kichapo na nguvu yake kijeshi ikapungua

Watu takribani 7,000,000 walipoteza maisha
..........
 
9/Russian Civil War
Hii ilikuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Soviet
Ilipiganwa kuanzia mwaka 1917 hadi walipochoka nwaka 1921
Vita iluanza baada ya Serikali ya Urusi kuvunjika na hapo Russian Empire kuanza kuanguka ilikuwa chini ya Bolshevik Party
Sasa jeshi likachukua madaraka jwa nguvu likuanzia huko Petrograd sikubhizi inaitwa St. Petersburg
Mwisho wa siku wakaikamata Urusi nzima na hapo ndo mauaji yalipokuqa yanafanyika....si mnazijua akili za wajeda bhana wakishapiga vitu vyao

Vita hii ilisababisha vifo vya Warusi 9,000,000
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…