Makapuku Forum

Leo katika Historia

1976 - Nwanko Kanu anazaliwa.
Nyota wa zamani wa mpira wa miguu toka nchini Nigeria aliwahi kutamba na timu za Ajax, Arsenal na Portsmouth.


Alimuwa na matatizo ya moyo(tundu ?) Ila aliposajiliwa na Arsenal akapatiwa matibabu bora na kupona kisha kufanya mambo makubwa uwanjani Alikuwepo kwenye kikosi cha vijeba wa Nigeria walioshinda Olimpiki pale Atlanta Marekani huku yeye akitupia dhidi ya Brazil
Wengine ni kina Celestine Babayaro,Raribo West n.k
.........
 
Leo katika Historia.

1976 - Hasan Sas anazaliwa.
Nyota wa zamani wa mpira wa miguu toka Uturuki.
Alitamba World Cup 2012 pale Korea & Japan Alikuwepo na akina Hakan Sukur walipoibamiza Senegal bao 1 kwa bashite tena muda wa nyongeza baada ya gane kuisha suluhu
Ilikuwa ni mechi ya shoka ya robo fainali
Ngebe za Waafrika zikaishia hapo
.......
 

Alitimkia Marekani kabla msimu haujaisha Majeruhi yalimuathiri Man Utd navkuishia kusugulishwacbenchi kama kinda vile ila akakomaa bila kuhama na kula tu mshahara mnono bila jasho
......
 
Dua yangu na ifike mbele zako, uniponye sawa sawa na ahadi yako, maana maagizo yako yote ni ya haki

Mkono wako na uwe na uwe tayari kunisaidia, maana nimeyachagua mausia yako


ZABURI:119:170:171

Muwe na asubuhi njema mbarikiwe sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…