Makapuku Forum

Bitoz leo kaamua kubeba hasira za Man U kufanywa 'kibaba na mama' na watoto wa kihuni Leicester City nimemuona akitoa povu kwenye uzi fulani...napenda kumpa rai ajikaze kwani mchezo huu hautaki hasira!
Acha mbwembwe ww
Mi nimetoa povu au nilikuwa nawanyamazisha vidomodomo wanazi wa Man utd
kwanza ht Manyau tufungwe 10 huwa sijali
RUDI KASOME UPYA
...................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…