Makapuku Forum

6/Milad Tower
Nauzungumzia mnara na siyo mjomba wa bongo aitwaye Millard Ayo
Mnara huu Waarabu hupendelea zaidi kuuita Tehran Tower
Unapatikana jijini Tehran nchini Iran.....hawa jamaa wapo vizuri kiteknolojia
Mnara huu una matumizi mbalimbali,hutumika kurushia natangazo ya radio na lunnga,hutumika kwa a jili ta biasgara yaani migahawa n bao imejengwa hapo kuwahudumia watu pia ndo chanzo cha utalii jijini Tehran ....twendeni tukatalii tusiogope mabomu
Ulianha ujengwa nwaka 2000 na kukamilika ilipofika mwaka 2009 japokuwa ulianza kutumika mwaka 2007

Una urefu wa futi 1,427
.....................................
Zitaendelea baadaye
 
 
Sawa mkuu
 
Ahsantee Madengee tuko pamoja twa@ubirii..
Hivi wanazijengaje hz mamboo..
Cc Shululu
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…