Makapuku Forum

Nawashukuruni mnoo kwa umoja wenu jamanii..

Lee Asante natambua umuhimu wako kwangu, Shunie wewe ndo bega langu wakati wa kulia kwangu... Unajua venye Nakupenda mdogo wangu.... Tumoo na shululu natambua umuhimu wenu mpaka nikinuna mwajua... Nyagei you're the best, we ndo mlinzi wangu.... Mzeewakungoa na Bitoz nashukuru kwa kampani yenu na kujali pia...

Husna na JJ natambua uwepo wenu kuniombea mama mchungaji popote ulipo Nakupenda mamangu.... Sala zako zinafika kwa wakati!!!!

T wangu sio kwamba nimekusahau... Wewe ni wangu tuu.. Mr Obe Ubarikiwe mnoo jamanii jana nimepata nyimbo zakooo.... Wana kapuku kwa ujumla... Nawapenda...

Till next time....

Muwe na jioni muruaaaa
 
Ooooh!
Love you too


Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Bila nasi tunafurahia uwepo wako
Pindi ukikosekana hapachangami kivile
....
 
TOP TEN
Nikiwa mdogo kevel ya darasa la kwanza dingi alinipigisha misele pande za katikati ya Jiji enzi hizo vidaladala vikitawala
Katika shangaa shangaa namuona njemba kashika bunduki hivyo nikataka kujificha ila dingi ananiambia nisiogope ni sanamu tu ......ndo nembo ya jiji la Bashite

Kwa wakristo Mnara wa Babeli ndo maarufu ili sijajua kama upo/ulikuwepo agu fix tu na umechorwa kibblia.....mimi sijui

Sasa leo tuangalia minara kumi mirefu zaidi duniani
Kwa Waafrika inaonekana kama ni matumizi mabaya ya pesa yaani ujenge mnara wakati watu wanalala njaa.....umaskini bhana

Mita 1 = Futi 3.3
Karibuni
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…