Makapuku Forum

Anko usiseme kwa sauti, ile safari nilipigwa majungu yaani matangazo yalianzia RFA, radio One, TBC, Uhuru Fm, Tuaini Radio hadi ile radio Heri ya Morogoro. Kwa hapa unategemea safari itakuwepo? watu wameweka matangazo hadi gazeti la An Nuur
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
WORLD CLUB FRIENDLY

Kwa udhamini wa Bitoz na Jimena sina la ziada katika sports segment. Tukutane kesho kwenye Sports segment nyingine.
.
.
.
.
.
×××××××××××××××END××××××××××××××××××
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…