Kwani kuna tatizo gani Rafiki kipenz... Yeye ameeleza hisia zake za ukweli... Hajasema anamtaka amesema anampenda tu kama wewe unavyompenda Christiano Ronaldo.
Anko usiseme kwa sauti, ile safari nilipigwa majungu yaani matangazo yalianzia RFA, radio One, TBC, Uhuru Fm, Tuaini Radio hadi ile radio Heri ya Morogoro. Kwa hapa unategemea safari itakuwepo? watu wameweka matangazo hadi gazeti la An Nuur