Binamu obe hana mke mmoja kuna mama ashura kuna yule mpika chapati kuna muuza supu kuna yule bonge kabisa kiuno hakijulikani mgongo haujulikani kazi kwako usiye na hata mmojaAweke akiba tu manake mke mwenyewe haaminiki... Usishangae ukasikia leo yuko kwa Bitoz kufuata handbag yake [emoji3][emoji3][emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Itabidi upambane na hali yako tu babu hakuna namnaMhhh Wee mjukuu.... Yaaani babu na uzee wote huu unamuelekeza Kwenye sabuni
Umenifurahisha baba d ukiiweka jioniKwa heshima yako kipenzii cha rohoooo
Naiwekaaa leo jioniiiiii...
Ndo naamkaa [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namsaidia kukuwekea kwenye list make copy ninayoo
Which copy Rafiki kipenz?Namsaidia kukuwekea kwenye list make copy ninayoo
Ni kweli lakini sio kwa sabuni ha ha ha ha ha haItabidi upambane na hali yako tu babu hakuna namna
Ha ha ha ha ha ha ha ha..... Hapo nimeridhika kuwa bachelor.... ....tena bachelor of science [emoji2] [emoji2] [emoji2]Binamu obe hana mke mmoja kuna mama ashura kuna yule mpika chapati kuna muuza supu kuna yule bonge kabisa kiuno hakijulikani mgongo haujulikani kazi kwako usiye na hata mmoja
Mkuu sana Lee empire umeoa humu?Kwa heshima yako kipenzii cha rohoooo
Naiwekaaa leo jioniiiiii...
Ndo naamkaa [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kila mtu apambane na hali yake
U hali gani wangu wa ubaniPamoja sana mdau
[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji524] Usijisifu kwa ajili ya kesho kwa maana hujui yakatayozaliwa na siku moja
Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe mtu mgeni wala si midomo yako wewe [emoji524]
MITHALI:27:1:2
Mbarikiwe sana muwe na jumapili njema na asubuhi njema [emoji120] [emoji7]
ShikamoMorning Shululu
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Kwa heshima yako kipenzii cha rohoooo
Naiwekaaa leo jioniiiiii...
Ndo naamkaa [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] da same to u
Sawa babuHa ha ha ha ha ha ha ha..... Hapo nimeridhika kuwa bachelor.... ....tena bachelor of science [emoji2] [emoji2] [emoji2]
basi hata kwa kununua babuNi kweli lakini sio kwa sabuni ha ha ha ha ha ha
copy ya list ya binamu obe ya watu wanaomsema vibayaWhich copy Rafiki kipenz?
Same to u victor