Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, bali wapumbavu hudharau hekima na adabu
Mwanangu yasikilize mafundisho ya Baba yako, wala usiache sheria ya mama yako
Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako na mikufu shingoni mwako
MITHALI;7:9
Muwe na usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu